Uzinduzi 1 Januari 202766siku 01:36:27Siri ijayo: Jumamosi, 7 Novemba →

Bure kwa miezi 3 · Toleo la Beta

Jua pesa ya biashara yako inaenda wapi.

Mauzo, matumizi na madeni — kwenye simu yako.

Kiswahili na English · Simu, tablet na kompyuta

Mfanyabiashara wa mboga sokoni akitumia simu yake

Pesa imeingia

+12,000 TZS

M-Pesa · sasa hivi

Juma anadaiwa

Analipa Jumamosi

8,000

Leo

TZS 35,000

Biashara yoyote. Simu yoyote.

Hivi ndivyo Mpemba inavyoonekana kwenye biashara kama yako.

Mama lishe

Chakula cha mchana · Cash

+38,000

Mama lishe
Boutique

Mauzo ya nguo · Benki

+240,000

Boutique
Duka

Bidhaa za stoo

−120,000

Duka
Famasia

Mauzo ya leo · M-Pesa

+185,000

Famasia
Fundi wa nguo

Juma anadaiwa · Ijumaa

25,000

Fundi wa nguo
Mgahawa

Kahawa na keki · Kadi

+96,000

Mgahawa
Kinyozi

Kunyoa · M-Pesa

+6,000

Kinyozi
Nyumbani

Ada ya shule · Kumbusho

450,000

Nyumbani
Kibanda

Mauzo · Airtel Money

+15,000

Kibanda
Ofisi

Kodi ya ofisi · Benki

−1,200,000

Ofisi
Saluni

Mshahara wa mfanyakazi

−80,000

Saluni

Rekodi jinsi unavyolipwa kweli

CashM-PesaAirtel MoneyTigo PesaBenki

Kutoka kukisia, hadi kujua.

Mfanyabiashara akiwa na daftari na karatasi nyingi
Kabla
DaftariMakadirioMadeni yaliyosahaulika
Mfanyabiashara akitabasamu akiangalia Mpemba kwenye simu
Na Mpemba
Jua mauzoJua anayekudaiAmua kwa uhakika

Jinsi inavyofanya kazi

Hatua tatu. Sekunde chache.

Skrini halisi ya Mpemba: Ongeza Pesa Inayoingia
1

Rekodi pesa inayoingia

Kiasi, aina, njia ya malipo.

Skrini halisi ya Mpemba: Ongeza Pesa Inayotoka
2

Rekodi pesa inayotoka

Bidhaa, kodi, mishahara, usafiri.

Pesa za leo

Imeingia ukitoa iliyotoka

TZS 35,000

Imeingia

50,000

Imetoka

15,000

M-Pesa

+12,000

Cash

+38,000

Cash

−15,000

Juma

8,000

Kodi ya duka: Ijumaa

3

Ona picha kamili

Salio la leo, madeni na vikumbusho.

Tazama kabla ya kuanza

Mpemba, kwa sekunde 45.

Kutoka daftari na kukisia, hadi kujua pesa yako kila siku.

Maandishi yapo kwenye video — inaeleweka hata bila sauti.

Hifadhi Nafasi Yako

Kila kitu mahali pamoja.

Pesa Imeingia

Pesa Imetoka

Salio na historia

Uhamisho wa pesa

Ninadai / Ninadaiwa

Risiti na ripoti

Vikumbusho vya malipo

Watu na ruhusa

Baadhi ya vipengele hutegemea mpango wako.

Toleo la Beta

Tumia Mpemba bure kwa miezi 3.

Itumie kwenye biashara yako halisi, na utuambie unachofikiria.

Hifadhi Nafasi Yako

Uzinduzi rasmi: 1 Januari 2027

Mfanyabiashara mwenye furaha mbele ya kibanda chake